Km umekosa mkopo hata uki- appeal you never get

Km umekosa mkopo hata uki- appeal you never get

SAMAZ

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
16
Reaction score
11
Ndugu,
Polen kwa mliokosa mkopo,leo tulikuwa bodi ya mkopo na kuna mfanyakazi wa bodi alikuwa anatoa maelezo kwa waliokosa mkopo na kujibu maswal km ifuatavyo;
1.swali; mm nimemaliza form/diploma mwaka jana tu lakini nimeandikiwa "NOT ELIGIBLE COMPLETED FORM SIX/DIPLOMA MORE THAN THREE YEARS BACK" SO HOW?
JIBU; unajua hilo ni suala la kiutendaji tutalifuatilia kujua uhalisia lakin si kwamba ndo suluhisho la ww kupata mkopo shorty "BURGET WAS EXHAUSTED"
2.Nimekamilisha form zangu na nimezituma bodi...lkn ninaambiwa form hazijafika/incomplete....... why that?
Jibu;kaangalie je form yako km imetumwa bodi au imeishia posta, unajua hilo ni suala la kiutendaji tutalifuatilia kujua uhalisia lakin si kwamba ndo suluhisho la ww kupata mkopo shorty "BURGET WAS EXHAUSTED

Kwa kwel maswali yalikuwa mengi sana ila majibu ni yaleyale tu

Ukiangalia mlolongo wa majibu ni wa kukatisha tamaa means wanachotaka ni watu kutoendelea na harakati za kudai
Ninachoamini mimi ni kuwa
HELA IPO,PAMOJA TUNAWEZA
 
sasa mleta uzi unaposema hata uki-appeal hupati kitu unakatisha tamaa!
mwisho unasema pamoja tunaweza!!
nahisi kuna jambo unataka kusema hebu funguka tujue pa kuanzia!!!
 
Kama una vigezo na sifa za ku appeal ninavyojua mm bodi wanakupa mkopo.
 
sasa mleta uzi unaposema hata uki-appeal hupati kitu unakatisha tamaa!
mwisho unasema pamoja tunaweza!!
nahisi kuna jambo unataka kusema hebu funguka tujue pa kuanzia!!!

Mwaka jana tuli~Appeal na hakukuwa na matokeo yoyote yaliyotoka....Hakukuwa na feedback yoyote
 
Mwaka jana tuli~Appeal na hakukuwa na matokeo yoyote yaliyotoka....Hakukuwa na feedback yoyote

chuo gani?? make kuna watu wali appeal wakapewa majibu,ambao hawakupata,wakapewa nafasi ya ku appeal bure kwa mara nyingine,na baadhi yao wakapata,sasa wewe sikuelewi unamaanisha nini? nieleweshe labda!!!
 
Back
Top Bottom