Acha hizo banaDk ya 90 simba 3 kmc 1
Goli ngapi?Dk ya 90 simba 3 kmc 1
Simba 4-1 KMCGoli ngapi?
Kimetokea nini sijaelewa?Kocha wetu ana busara sana, ningekuwa mimi pale ningemstua na kibao kabisa kui reset akili
Matola & company wanafanya sub bila kocha mkuu kujuaKimetokea nn sija elewa?
Hivi kwenye issue ya vyeti huyu ndio alikuwa kocha mkuu?Hitimana niwa kuwambwa makofi kabisaa
Waliangalia kiwango chake kwenye PS ya kenya ya mwaka 2030[emoji16]Ilikuwaje yanga wakamsajili?
Mmmhh hapo ni kiwanjani au njeView attachment 2055827Nipo uwanjani hapa. Ni burudani
Ndiyo, lakini sahivi Pablo si ana vyeti Hitimana sijui anasubiri nini pale.hivi kwenye issue ya vyeti huyu ndio alikuwa kocha mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]achaga dharau basi na wewe.Kmc wanafungwaje na Mafua fc