daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Kwani Mayele ana goli ngapi mpaka sasaKibu ana goli 2 mpqka sasa, tunakoelekea mpaka tuna maliza liginmayele atakua amechwa mbali na onyango kwa magoli
Ukurasa umefungwaVipi kuhusu Kibu mna hoja gani?
3 na mawili kati ya hayo ni favor kutoka kwa mwamuziKwani Mayele ana goli ngapi mpaka sasa
Sawa, ni vyema ukashikilia msimamo wako huu hadi ligi itakapoishaHuyu KIBU Simba walimuokota wapi jamaa akili ya mpira HANA
Si mpakaShikalo hata mimi namfunga
YaaniKibu angeambiwa tu kua kuna maisha baada ya soka, huku kukomoana sio mchongo
Rudia tena kauli yakoHuyu KIBU Simba walimuokota wapi jamaa akili ya mpira HANA
Umefuta kauli yako?Kibu ni mchezaji wa hovyo sana
Sakho ni overrated player
Kibu anamzidije Mayele idadi ya magoli? 🤣🤣🤣Kmc wanafungwaje na Mafua fc
We LiJamaa sio kabosaKmc wanafungwaje na Mafua fc
Kibu Leo anatuproove wrong
Ila mmemuandama Mayele khaa![emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]3 na mawili kati ya hayo ni favor kutoka kwa mwamuzi