KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Dilunga na Mhilu wanajiandaa kuchukua nafasi.

Bila shaka Sakho kwenda benchi.
 
Na hapo tumetoka kuumwa, tungekuwa wazima kama wale je?
 
KMC wanataka kumuaminisha boss kua mechi hii wana suluhu


Daah kumfurahisha boss kazi
 
Mateo anthony kapiga shuti hatari lakini limeenda nje ya lango

langoo langooo langooo langoo, la mbinguni liwaziii


Hahaha anthony ni utani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…