KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

Hii kuamini kwamba mtashinda kwa kupulizia vyumba dawa ni tatizo CAF wapo macho sasa hv isije watu wakavunja viti tu.
 
Kuna full back namba mbili Boniface Maganga anapiga cross kama vile kanywa dawa za kuongeza nguvu
 
Hizi Timu za Viti Maalum zitatuaibisha tuu hakuna namna, tiumu inayoweza kutusua pekee ni Simba
 
Hii kuamini kwamba mtashinda kwa kupulizia vyumba dawa ni tatizo CAF wapo macho sasa hv isije watu wakavunja viti tu.
Ile kesi ilifika wapi ya kupulizia dawa?
Kwa hiyo Yanga na KMC wamo CAF kwa nguvu ya dawa
 
Nimesema Yanga Na Kmc Mlibebwa! Embu Mngojee Wanaume J Pili Watawasahaulisha Machungu Yenu! Coz Najua Gongohanze Nae Kesho Ataunyea Mkeka
 
Dkk '88
Penalt...
KMC wamepata penalt. anaenda kupiga NDIKUMANA
Goooaal
KMC 1-2 AS KIGALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…