KMC yaichapa KARIOBANG SHARK 2 - 1

KMC yaichapa KARIOBANG SHARK 2 - 1

ZionGate

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
6,362
Reaction score
2,991
Na Shabani Rapwi
Klabu ya KMC imeibuka na ushinda wa mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Kariobangi Sharks ya Kenya mchezo ambao umefanyika leo Jumanne Agosti 6, 2019 asubuhi katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mabao ya KMC yamefungwa na Serge Nigues dakika ya 21′ na Vitalis Mayanga dakika 82′ huku la bao Kariobangi Sharks likifungwa na Julius Masaba dakika ya 23′.
Mchezo huo ni wa pili kwa klabu ya Karibangi hapa nchini baada ya ule wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Wananchi juzi dhidi ya Yanga SC.
KMC wameutumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Kigali utakaochezwa Agosti 10, 2019 katika Uwanja wa Kigali,Rwanda
 
Yanga ilishinda goli ngapi jamani?
 
Back
Top Bottom