Habari zenu wakuu,,naomba kufahamishwa bei ya knee replacement pale MOI.Na pia ningependa kujuwa kama bima ya afya ina cover upasuaji huo.Natanguliza shukrani zangu.