Knock!knock!who z there?utam wa mdundiko,tinga kati ucheze.......

Knock!knock!who z there?utam wa mdundiko,tinga kati ucheze.......

SoftBlack

Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Oi!oi!oi!oi!oi!wadau kumbe natakiwa npite hapa?inakuwaje mazee?mi ndo nshatinga mdundikoni ka ilivyoada!ushirikiano plzz!santeeni!..
 
Karibu saaana jamvini, ila kuwa makini sana.
 
Karibu JF mkuu, ama baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA

Oi!oi!oi!oi!oi!wadau kumbe natakiwa npite hapa?inakuwaje mazee?mi ndo nshatinga mdundikoni ka ilivyoada!ushirikiano plzz!santeeni!..
 
Back
Top Bottom