D desert fish New Member Joined May 22, 2009 Posts 1 Reaction score 0 May 25, 2009 #1 Waheshimiwa nimevutiwa na forum hii, nami nimeamua kujitosa na kushiriki katika kutoa mawazo yangu katika mambo mbalimbali! Hodiiiiii!!!
Waheshimiwa nimevutiwa na forum hii, nami nimeamua kujitosa na kushiriki katika kutoa mawazo yangu katika mambo mbalimbali! Hodiiiiii!!!
Soulbrother JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 405 Reaction score 17 May 25, 2009 #2 Karibu mpaka ndani....
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 May 25, 2009 #3 Karibu sana. Jina lako linanikumbusha mmali kweli kweli!
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 May 25, 2009 #4 Karibu sana. Jina lako linanikumbusha mbali kweli kweli!
Exaud J. Makyao JF-Expert Member Joined Nov 30, 2008 Posts 1,518 Reaction score 24 May 25, 2009 #5 KYACHAKICHE said: Karibu sana. Jina lako linanikumbusha mbali kweli kweli! Click to expand... Hata jina lako lanikumbusha mbali. hata hivyo namkaribisha mgeni. Kijacho, nakije.
KYACHAKICHE said: Karibu sana. Jina lako linanikumbusha mbali kweli kweli! Click to expand... Hata jina lako lanikumbusha mbali. hata hivyo namkaribisha mgeni. Kijacho, nakije.
Kyakya JF-Expert Member Joined Apr 24, 2009 Posts 398 Reaction score 24 May 25, 2009 #6 Karibu hadi uwani Mkuu