Know Your Car (engine)

Undava King

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,422
Reaction score
5,659
Kama wewe ni moja ya wale wanaopenda walahu kujua kwa mwonekano baadhi ya vipuri vya magari hasa katika engine ambapo wengi wetu tumekuwa tukisumbuana na mafundi wanapotuelezea vifaa vipi vimeisha tubadilishe au tukanunue na unajikuta katika wakati mgumu usijue chakufanya zaidi ya kumwachia fundi aamue mwenyewe kwa kuwa kifaa chenyewe unachoambiwa hukifahamu wala huna hata idea kinakaa maeneo gani katika gari lako wala kinafanyeje kazi..basi karibu katika uzi huu ntakuondolea utata huo kwa njia ya picha hili kama ni mtu wa kujifunza utaepuka taabu za kuagizwa kifaa hiki wewe unaleta kile au kuingizwa mkenge mara kwa mara na mafundi au wafanyabishara wasio waaminifu.

Faida ya kuvijua vipuri vya gari lako ni pamoja na kuwa na uhakika na kile unachotengeneza, kupunguza hali ya kutapeliwa kwa dharau za yule haelewi chochote kuhusiana na magari, kuhakiki mwenyewe kipuri kilichoagizwa na kilicholetwa, kuwa na idea kidogo na ufundi au mahali na namna kipuri kinavyopachikwa, kugundua tatizo mara tu linapojitokeza au pindi unapooneshwa na fundi n.k

Hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kujifunza na kuepuka kupigwa kwa kila kitu kama mbumbumbu wakati uwezo wa kulijua gari lako nje ndani upo, kitendo kitakacho kuongezea hali ya kujiamini pale unaposimamia gari lako nakujiepusha na gharama zisizo za lazima.
 
Exercise 2
 

Attachments

  • FB_IMG_16738147088630053.jpg
    33.8 KB · Views: 9
[emoji596][emoji598][emoji604][emoji592][emoji124][emoji124]
 
Ungetuwekea picha halisi sio hiyo michoro, hapo sio rahisi kumfahamisha mtu aijue picha halisi ya spare. Tuwekee picha halisi sio michoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…