Knowlegde of the day:kuingiza ramani ya google kwenye tovuti

Knowlegde of the day:kuingiza ramani ya google kwenye tovuti

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Nimejiuliza swali ni nini web desinger wanafanya kuingza ramani ya google ya eneo fulan kwenye tovuti zao?

Baada ya kusoma soma na kutafuta majibu nimegundua na nimejarib kinachowezesha kuweka ramani ya google kwenye ukurasa ni key za google API ambazo kama una acccout ya gmail unaweza kusajili na kupata bure.

Baada ya hapo kwa kutumia ramani ya gogle unaweza ku fanya customistion eneo unalotaka lionekana kwenye page yako eg Dar es salaam.

Mfano nimefanya jaribio katika web yangu ya mazoezi hapa http://mawasiliano.zxq.net/ramani.htmlhttp://mawasiliano.zxq.net/search.html

So kampuni zenye tovuti zinaweza kutumia google map API kwenye site zao

kama una taka kujaribu fuata maelekezo haya
How can I embed a Google Map on my Web page? :: Free Tech Support :: Ask Dave Taylor!®
Add Google Maps to your website

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom