Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Wiki jana majira ya usiku nilikutana naye alikuwa anakatisha barabara ,urefu wake ulikuwa km ft 6 hivi,nilijaribu kumkanyaga lakini alikuwa mwerevu sana na spidi ya ajabu
 
Kwa kawaida koboko anapogonga mnyama au binadamu meno yake hayatoki km walivyo nyoka wengine,koboko anauwezo wa kugonga ng'ombe hamsini(50)kwa wakati mmoja bila kuangusha hata jino moja,inaamika hapo ndipo hupungua nguvu,lakini ni nyoka mwenye kasi sana.moja ya tabia zao ni kutokupenda makelele,hupenda sehemu tulivu mno.kwa Tanzania unaweza kuwapata kwa wingi kwenye pori la mpanda -sikonge,Rungwa-mgandu-chunya.sehemu nyingi anazoishi ni za jua kali na zenye kupatikana sana mbao ngumu nyekundu km mninga,mtondoo
 
Wiki jana majira ya usiku nilikutana naye alikuwa anakatisha barabara ,urefu wake ulikuwa km ft 6 hivi,nilijaribu kumkanyaga lakini alikuwa mwerevu sana na spidi ya ajabu

Wewe! Bahati yako, ungemkanyaga ungekiona cha moto.
 
Koboko kabla ya kumgonga mtu humpima urefu hasa anapokuwa nyikani au kwenye mti juu akivizia,hukadiria hata mara tatu ndiyo hushambulia,labda watu walipata kusikia zamani hadithi ya watu kubeba vyungu kuhofia kugongwa na koboko
 

Mkuu wapi huko,very brave aisee!
 

Ikitokea amekugonga nini cha kufanya kudhibiti kutokana na nature ya sumu yake inayosambaa haraka?
 
Mbona unaamua kuweka CV yako hapa mie nimefunzwa hiyo tabia kwangu mwiko acha kunitongoza
Maneno yote uliyoyasema wanawake ndio wanayasema na hao mashoga wenzio

nilkuwa najua naongea na mvuta bangi kumbe sista duu! kwahyo huwa unatongozwa bila kuambiwa "i love u? we n kahaba uliyekomaa...unaangalia hela tuu!!!
 

hapo umesema kweli,hata kuna nyoka wa kijani wapo wengi
 
waallah siwapendi hawa wadudu hata kidogo, nlikua dodoma siku moja kumsalimia bi mkubwa akaingia nyoka mkubwa sana ambae binafsi sijawahi muona ana macho makubwa yametoka nje, ana wekundu fulan uliokomaa mgongoni huwa wanaishi kwene mibuyu mikubwa SIJAWAHI AMINI KAMA NILIMUUA YULE MDUDU, nahisi ni kwa sababu alitaka mshambulia bi mkubwa, since that day sijakaa kusahau. hawa wadudu SIWAPENDI SIWAPENDI.. NA NDIO NAWAOGOPA.
 
hivi unaweza kupata medication/injection yeyote ya kuzuia sumu ya nyoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…