Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nimependa ila nilishtuka nikajua kibisa kaniviringa mguuu ila nilivyojua hana madhara nikashusha pumzi
 
Siku nyingine ujiheshimu na ujue unaletea Makala watu wazima. Hakuna nyoka mzuri, nimemaliza
 
Nimejikuta nakufikiria wewe kuwa ni ME. Wanawake majasiri wa stori hizi ni mmoja kwa milioni. Tena et switihati? nakataa
 
mtoa mada ukiwa kama mtaalamu wa manyoka nitampataje huye nyoka wa kibisa nikae nae ndani kama pambo!
 
Acha hizo, Kibisa sio aina ya nyoka, Kibisa ni neno lenye asili ya kikundi cha sanaa cha miaka ya 80 kiliitwa DDC KIBISA NGOMA TROUPE!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti nyoka ana rangi ya kuvutia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha hizo, Kibisa sio aina ya nyoka, Kibisa ni neno lenye asili ya kikundi cha sanaa cha miaka ya 80 kiliitwa DDC KIBISA NGOMA TROUPE!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna swali nimeuliza..... Huyu kibisa kwa kingereza anaitwaje? Maana nyoka wote ninawajua vzur hasa kwa majina ya kingereza. Na nyoka wapole zaid nina wajua... Kwa mujibu ya maelezo ya mtoa mada, naona hapa kuna udanganyifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…