Ana uwezo wa kuuwa watu 12 kwa sekunde chache tu, sio nyoka hata wa kumuota huyo ni balaa na very aggressive akikuona lazima akukimbize na ana speed sana, nilimuona akifukuza panya kwenye matuta yeye alikuwa anapita juu ya matuta imagine that

Mchanganyiko!
hivi unaweza kupata medication/injection yeyote ya kuzuia sumu ya nyoka?
hivi unaweza kupata medication/injection yeyote ya kuzuia sumu ya nyoka?
duhhhh inamaana hakuna dawa TAnzania au ni hakuna dunia nzima?Kuna sindano ndio lakini mara nyingi zile huwa zinasaidia ikiwa umeng'atwa na nyoka wasio na sumu kali (house snake), kwa nyoka wenye sumu ni ngumu sana, labda uwekewe jiwe lile la kufyonza sumu (magic stone). Hata hivyo kwa Black/Green Mambas hakuna dawa kabisa!:banghead:
Akikung'ata huyu black mamba ujue it's a kiss of death unless ipatikane anti venom ya black mamba
duhhhh inamaana hakuna dawa TAnzania au ni hakuna dunia nzima?
inatisha kwa kweli .
Akikung'ata huyu black mamba ujue it's a kiss of death unless ipatikane anti venom ya black mamba
Huyu nyoka nihatari sana, sikumoja nilikuwa nakwenda field na gari akasimama dede mbele yangu, nikafunga breki nakusubiri apunguze hasira na aendelee na safari. Busu la kifo huyo, akikubusu tu umekwenda!!
Ulitumia akili sana, ungejaribu kumpitia huwa anajiviringisha kimya chini ya gari kwny chuma lolote lile, ukisimamisha gari unae!🙄
cobra anaitwa swila.
Dunia nzima dada.
Unless ipatikane anti venom ya huyo huyo black mamba na uhudumiwe as soon as possible.
Bila hivyo ni kiss of death����
Hapa nyegere (honey badger) akijipatia kitoweo safi cha black mamba, siku imeenda uzuri kabisa.
Hapa nyegere (honey badger) akijipatia kitoweo safi cha black mamba, siku imeenda uzuri kabisa.
Huyo nae ni habari nyingine, anaweza akabadili historia ya maisha yako kama wewe ni mwanaume within seconds