Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

uyo mzee alikuwa anapoteza muda....huko kijiji cha Mswaa korogwe izo shughuli zinafanywa na watoto wa shule ya msingi wanacheza nae mpaka wanamkamata na kumuua.
 
Huyu black mamba kwetu anaitwa kigong'oto, akiingia ndani ya nyumba huwa anagonga kila kilicho mbele take sasa akiingia kwenye kabati asubuhi mtahesabu hasara kubwa sana maana huwa haachi chombo cha udongo haya kimoja kikiwa salama.
 

KINYUME!
 
Hueleweki,tengeneza maelezo yako vzr
 

lete story
 
Huyu ni aina ya nyoka anayeweza kushambulia kwa hasira kali, uwezo wa kukimbia ni mkubwa Sana, hadhari kubwa inatakiwa unapovinjari maeneo hatarishi
 
Kwa hiyo, yeye akikuona tu anaanza mashambulizi??
Dah.. Siyo kwa mambas... Uamuzi wa kwanza wa black mamba akikutana na binadamu ni kutimua mbio.... Labda awe amebanwa kwenye kona....na hutoa sauti ya kufoka kabla hajashambulia...ukweli bado unabakia. . Binadamu ndiyo kiumbe Hatari kuliko vyote[emoji13] [emoji13]
 
Duu rangi ya kawaida ni ipi wajameni ?
Nyoka wengi wanaopatikana Tanzania huwa na rangi kama ya khaki flani (hivyo nilichukulia kama rangi ya kawaida angalia picha hapo). Au kwa maana nyingine rangi yoyote ile na si nyeusi kama alivyosema mdau niliomjibu
 

Attachments

  • snake.jpg
    73.6 KB · Views: 201
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…