Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hawa wapo sana Misitu ya Manyoni specifically Itigi yote yaani huku kama zizi lao. Watu wanatwangwa na kufa daily
 
Na hupenda sana kula bangi walipopanda ganja kama ni porini Tegemea kuwakuta.
Pia huku misitu ya Itigi-Manyoni wengi sana na wanauwa watu mno.
Mnapotaja janga la njaa ongezeni na janga la mauaji ya koboko Manyoni-Itigi.
 
Brow endrew nyerere according to your post #55 nyoka(Python)anajua ndiyo wewe ni hatari ila wakati huo huo ndo chakula chake so hawezi kukuogopa anacheza pata potea akuotee umuotee ndo maana anapo-attack huwa anatumia vurugu zote pamoja na kumtisha aliyemkusudia!
 
Mkuu Rohombaya labda kama unawazungumiza hawa ila sio[emoji116] huyu kwa kimo hiki ana uwezo wakukugonga usoni[emoji116] na kwa pigo hili mkuu kama upo Magomeni na amekujeruhi Muhimbili unaweza usifike na hata ukifika dk hamalizi kukuandikia dose tulio nje tutakuwa tunaongea mengine[emoji116] huyu akikuona anakuzuia njia ukikimbia anakukimbiza kitakachofuata ukipona utegemee miujiza.
 
Sio huyo mkuu,mwenyewe ni mweusi tii
Black Mamba siyo mweusi kabisa....

Kinachofanya aitwe Black Mambo ni weusi ulio ndani ya mdomo wake...

Ukiona nyoka mweusi ila ndani ya mdomo si mweusi jua huyo si black Mamba
 
Umeongea kinyume
 
Huyo nyoka hatar san, kwan endapo unaendesha gari hasa lenye uwazi chini, anaweza kudandia huku nyie mkijua labda mshamkanyaga, sasa kivumbi kitakuwa hapo mtakaposhuka ndipo kasheshe inapoanzia, just imagine gari imesimamisha mjini au mpo kwenye foleni, ujue unaacha hekaheka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…