Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Huyu Mbwiga wa kirussi Arslan Valeev alikuwa ni mfugaji wa nyoka mbalimbali wakiwamo Taipans,siku mpenzi wake alipomuacha kwa hasira akamchagua koboko ili amng'ate koboko bila ajizi akamgonga Mbwiga huyu na akafariki mbele ya kamera.
 
Mimi nipo eneo la mkoa wa Tabora. Nashindwa kumwongelea huyu nyoka.
 
The death of Cleopatra VII, the last reigning ruler of Ptolemaic Egypt, occurred on either 10 or 12 August 30 BC in Alexandria, when she was 39 years old. According to a popular belief, Cleopatra committed suicide by allowing an asp (Egyptian cobra) to bite her.
 
Mmmh...she allowed cobra to bite her?

What's the reason behind?
 
Nyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.

Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.
Yeah, wewe unamjua, watu wanachanganya na black mamba sijui kobra, tofauti kabisa, huyu jamaa kwanza hana rangi nyeusi, ni mweupe fulani hivi, ana singa kichwani na akitoa mlio unaweza fikiri ni jogoo, anasafiri kama helcopta, ana shabaha, ana lenga kichwani tu, akikugonga dakika tano nyingi tuna zika, tumewaua wengi kijijini, mkigundua sehemu kuna koboko, tulikuwa tunajitwisha uji wa moto kwenye sufuria, akikuona lazima akurukie kichwani, anajizamishwa kwenye uji wa moto anakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…