Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Da, c mchezo
 
Hamisi ni Mnyamwezi na ni Waziri wa mambo ya wanyama na utalii anatakiwa kumtangaza huyu Koboko ili watalii wapenzi wa huyu jamaa wamiminike.
Hapana hamisi sio mnyamwezi yule ni muha kgm sema kakuliaa tuu pale
 
Kuna kisa kimoja cha Koboko alitaka kuAmbush gar lai wawindaji wenye silaha wakamtwanga risasi akakimbilia juu ya mti pamoja na kuwa karibu na kukatika na (Spinal Cord kukatika) alikaa kuanzia jioni mpaka asubuhi yake ndio akafa.
Huyu sio nyoka. Ni shetani
 
Daadeki... acha niendelee kuitwa mwanaume wa Dar kuliko kukutana na hili shetani linalotambaa
 
Wakati anavuka barabara huwezi kuona kichwa wala mkia.
Ni kweli aisee kuna siku tulikuwa tunaelekea Horohoro njiani tukamuona mzee anakatisha kajaa barabara yote lakini sina uhakika kama alikuwa yeye au python maana tulisimama mbali kidogo kumuacha aende kwa amani ilikuwa ndio kumepambazuka.
Ingawa nilitamani nimpige hata picha
 
Mngemkanyaga akafie mbali huyo shetani mtambaaji.
 
Mngemkanyaga akafie mbali huyo shetani mtambaaji.
Tena nakuomba usijaribu kumkanyaga maana ana mbio za ajabu na anairukia gari na kujificha kwenye engine mpaka utakaposimama ndio utamjua kwanini aliitwa koboko
Ana uwezo wa kugonga watu 25 kwa muda mchache sana na lina hasira sana za haraka haraka
Ni sheitwan huyu sio kiumbe wa kawaida
Usijaribu kumkanyaga
 
Yani gari impitie juu afu asife? Hapa tunazungumzia nyoka au shetani?

Huyu si wa kukutana naye, Ee Mungu naomba unisikie.
 
Kuna Video moja huko Kruger park Afrika ya Kusini jamaa yuko ndani ya gari akamuona koboko kwenye kichaka kumuangalia mara ya pili hamuoni aliporudi nyumbani wakati anataka kushuka kwenye gari akagongwa koboko alikuwa amejificha chini ya gari.
 
Kuna Video moja huko Kruger park Afrika ya Kusini jamaa yuko ndani ya gari akamuona koboko kwenye kichaka kumuangalia mara ya pili hamuoni aliporudi nyumbani wakati anataka kushuka kwenye gari akagongwa koboko alikuwa amejificha chini ya gari.
Duu una hiyoo clip kiongoziii
 
Hii Mada ina mchanganyiko sana wa aina za nyoka, black mamba ni nyoka Mwenye aibu "mstaarabu", hukimbia watu, na asilimia kubwa ya nyoka waliopo Tanzania has a maeneo ya joto ni hawa, ila akidhani amezingirwa hushambulia kwa kujihami, ana sumu mbaya sana, lakini huyu sio koboko, cobra wala kifutu, Mara nyingi ana rangi ya kijivu, asubuhi unaweza za kumuona anaota jua njiani akikuona anajifungua taratibu na kuondoka.

Hawa wanaosema wanakimbizwa na nyoka huyo ni cobra, cobra hata kama ametotolewa Leo atazuia njia usipite, yuko tayari kufa kuliko kukimbia, akiwa Mkubwa anaweza kukimbiza kundi la watu.

Sasa watu wamechanganya koboko na black mamba ambaye ni nyoka anayepatikata kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…