Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Ukitaka kumfuga Nyegere jenga kibanda cha "zege"laa sivyo atachimba hiyo sakafu ya simenti mpaka nje.
 
Huyu jamaa alikuwa anatafuta sifa, hivi hakuna mavazi ambayo unaweza kuvaa na ukamsogolea kabisa na kumkamata, mf kama yale ya wale jamaa wa kurina asali
Inawezekana ila kwa sababu dunia yaleo camera zina uwezo wa kuZoom kwa umbali mrefu hakuna haja ya kumletea stress mnyama huyu wa mwitu.
 
Wacheni mungu aitwe mungu,baada ya nyoka wa kufugwa kuletewa mlo wake badala ya kuula akajenga urafiki.
 
Reactions: Cyb
Mkuu m naonaga nyoka ni nyoka tu nikikutana nae ni mbio mpk miguu ivunjike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji122] [emoji122]

Uko ka mimi ni ndukii tu, sitaki kujua ni aina gani ya nyoka!

Siku nikikutana na koboko nitaangua kilio hicho! Kwanza naomba M/ Mungu aniepushie hilo balaaa
 
Reactions: Cyb
Wacheni mungu aitwe mungu,baada ya nyoka wa kufugwa kuletewa mlo wake badala ya kuula akajenga urafiki.View attachment 772370
Mkuu huyo nyoka ameshiba. Nadhan unajua akimeza kitu nyoka anaweza kaa hadi wiki anafanya "digestion" kikiisha tu chakula tumbon huyu sungura hutomuona hapo tena.
Kuna zoo moja ipo Mbeya inaitwa IFISI (nadhan ni ya Waanglikani) kuna michatu mikubwa balaa ikishiba wala haina habar na sungura waliopo kwenye vyumba vyao tatizo njoo ikiwapata utaona mziki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…