Kocha Al Ahly: Tutacheza tofauti na tulivyocheza Tanzania

Kocha Al Ahly: Tutacheza tofauti na tulivyocheza Tanzania

Movic Evara

Senior Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
197
Reaction score
431
"Kushinda ugenini imewapa hali ya kujiamini wachezaji wangu, nimewaambia Mchezo bado haujaisha tunapaswa kucheza kana kwamba hatujashinda ugenini. Tunapaswa kufunga magoli mapema. Tutacheza kwa mpango tofauti na ule tuliocheza Tanzania"

Marcel Koller Kocha wa klabu ya Al-Ahly

"Nilifurahishwa na timu yangu ilivyocheza mchezo wa kwanza, takwimu za timu yangu zilikuwa juu tulitengeneza nafasi nyingi, niwaambie tu nitacheza kama nilivyocheza nyumbani kumiliki mpira na kushambulia lakini nitaongeza na mbinu zangu nyingine na nimewaambia wachezaji wangu kama tutazitumia nafasi, nitashinda hii mechi"

"Nina imani tunashinda mechi hii, Imani yangu inaniambia hivyo sitawaogopa japo nacheza na timu kubwa Afrika na kumiliki mpira mbele ya Al Ahly sio jambo jepesi."

Abdelhak Benchikha, Kocha wa klabu ya Simba SC
 
Back
Top Bottom