Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Hahahahahahahahahahaahahahahaha......Kashapewa mlungula awasifie
Ulaya ya Kilosa Morogoro ama Ulaya hii ya Europe.Kocha wa klabu ya Al Merreikh, Osama Nabih amesema Yanga SC inacheza kama vilabu vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa ikiwa Yanga itatwaa ubingwa wa Afrika.
“Tumekutana na vilabu vikubwa vya Afrika, lakini tulivyocheza dhidi ya Yanga, tumeona ubora wao wa kipekee.
“Sitashangaa ikiwa Yanga itatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Wanacheza kama vilabu vikubwa vya Ulaya." amesema Osama Nabih.
Al Merreikh imeondoshwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 3-0 dhidi ya Yanga kwenye hatua ya pili ya mtoano.
View attachment 2768634
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ulaya ya Kilosa Morogoro ama Ulaya hii ya Europe.
Raja alicheza na nyie Rwanda?Yanga mko vizuri sema na bahati inachangia mnakutakana na Timu ambazo haziko stable kwa wakati huu ,unacheza na timu Chamazi halafu unaita ugenini au kigali timu ya Sudani .
Ila kiujumla Mna kikosi kizuri na kocha mzuri ,Simba wachezaji wapo ila kocha hakuna .
Kasema hatashangaa wakichukuwa ubingwaWanacheza vizuri sawa ila ubingwa anawadanganya
El Merrikh kila wakiingia makundi wanakuwa wa mwishoKocha wa klabu ya Al Merreikh, Osama Nabih amesema Yanga SC inacheza kama vilabu vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa ikiwa Yanga itatwaa ubingwa wa Afrika. “Tumekutana na vilabu vikubwa vya Afrika, lakini tulivyocheza dhidi ya Yanga, tumeona ubora wao wa kipekee.