Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
Mshambuliaji wa FC DALLAS fafa picault (29) anasema moja ya matukio ambayo hawezi kusahau katika maisha YAKE ya soka Ni pale AMBAPO KOCHA wa Timu ya Vijana ya CAGLIARI Alipomuita yeye Ni Sokwe hafundishiki anapaswa kurudi MISITU YA AFRIKA
FAFA akiwa chini ya miaka 17 Alijiunga na timu ya Vijana ya CAGLIARI AKITOKEA NCHINI MAREKANI
Akiwa hapo alikutwa na balaa zito la UBAGUZI wa RANGI kutoka kwa KOCHA wake Alipomuita yeye Ni Sokwe asiyefundishika
FAFA anasema hii Hali ilimuuma zaidi mpaka leo akikumbuka tukio Hilo
Black live matters