Kama mimi sio sokwe wala haunistui
Unafikiri huyo anayekuita sokwe hajui kwamba wewe sio sokwe?Itakuumaje wakati wewe si sokwe!
Unafikiri huyo anayekuita sokwe hajui kwamba wewe sio sokwe?
Point hapo ni kwamba amekushusha mpaka kwenye viwango vya sokwe kwa sababu ya rangi yako.
Ukiitwa sokwe na mtu mweupe lazima ushtuke na kufadhaika aisee! Sio kitu kidogo hicho!
Mkuu uwiiii umeniua 🤣🤣🤣😂 da mna majibu aseee🙌🙌Mwambieni huyo mchezaji mimi babu yake niko Juu ya miti sasa hivi niko nakula matunda na kucheza cheza na wapwa zake juu ya miti na baadae tutaenda kuiba mahindi kwny mashamba ya watu.
Unafikiri huyo anayekuita sokwe hajui kwamba wewe sio sokwe?
Point hapo ni kwamba amekushusha mpaka kwenye viwango vya sokwe kwa sababu ya rangi yako.
Ukiitwa sokwe na mtu mweupe lazima ushtuke na kufadhaika aisee! Sio kitu kidogo hicho!
Hahah huyo mchezaji asijifanye kukana asili yake mkuu.Mkuu uwiiii umeniua 🤣🤣🤣😂 da mna majibu aseee🙌🙌
Na hiyo ndio attitude ambayo unatakiwa kuwa nayo ukienda kutafuta ugali kwenye nchi za hawa wazungu.
Mie nara mia nibaguliwe na mzungu lakini sio dharau na ubaguzi tunaofanyiwa na waafrika wenzetu
Kwahiyo ukiitwa wewe ni binadamu itakustua?Kama mimi sio sokwe wala haunistui
Jinga sana. Angemwambia kwa kawaida sokwe anakuwa mgumu kufundishwa na nguruwe pori wa Ulaya....Shughuli ingeisha kwa amani na upendo kabisaHuyo Niga fala sana, kwanini na yy asimuite Kitimoto