Kocha Amunike aanza kujuta kuwatimua nyota wa Simba

Subiri matokeo,by the way mtani upo maana umepotea sana

Kwa jinsi sisi mashabiki wa Taifa "Simba" Stars ambavyo kinyongo chetu na Amunike hakijaisha, matokeo ya siku hiyo tunayasubiri kwa hamu sana. Majukumu tu Mtani yalizidi.. Ila tupo pamoja.
 
Uamuzi ulifoanya na TFF kumpotosha kocha hauna maana yoyote. Huwezi ukataja wachezaji wenye nidhamu Tanzania ukamwacha Kapombe, Bocco na Kichuya
 
Kila la Kheri Home team 🇺🇬🇺🇬

🤔🤔🤔🤔🤔
 
Kwa jinsi sisi mashabiki wa Taifa "Simba" Stars ambavyo kinyongo chetu na Amunike hakijaisha, matokeo ya siku hiyo tunayasubiri kwa hamu sana. Majukumu tu Mtani yalizidi.. Ila tupo pamoja.
Wachezaji wa Simba mkiwepo Taifa Stars Huwa inafanya nini cha maana? Maana mnaongea utafikiri Stars ilishawahi shiriki kombe la dunia.
 
Sina shaka na forward ya Stars hata kiungo imesheheni vipaji, defense Mmh na kibaya zaidi Yondani na Ngalema wamepata majeraha, ubora na uzoefu wa Nyoni na Kapombe unahitajika kupita maelezo
 
Wachezaji wa Simba mkiwepo Taifa Stars Huwa inafanya nini cha maana? Maana mnaongea utafikiri Stars ilishawahi shiriki kombe la dunia.
Umuhimu wa Simba SC katika timu ya Taifa Stars utaonekana Jumamosi.. Vuta subira Mkuu.
 
Ningeshauri wachezaji wote wa Simba na Yanga wasiusishwe na timu ya Taifa, kwani hawajawahi kuwa na impact yoyote ile, tujaribu plan C.
 
Uamuzi ulifoanya na TFF kumpotosha kocha hauna maana yoyote. Huwezi ukataja wachezaji wenye nidhamu Tanzania ukamwacha Kapombe, Bocco na Kichuya
Ongeza Erasto Edward Nyoni
 
Umuhimu wa Simba SC katika timu ya Taifa Stars utaonekana Jumamosi.. Vuta subira Mkuu.
Hakuna cha Jumamosi Wala Jumapili hata first eleven yote ingekuwa Simba Taifa Stars Huwa haifiki popote.Kwani Miaka ambapo wachezaji wa Simba Huwa wanakwepo Stars Huwa inafika wapi? Stars hata wawepo wachezaji wa Bomu Bomu United au Wale wa Ndo ndo Cup Stars itakuwa ni ile ile tu kichwa cha mwendawazimu.
 
Kwani wachezaji wa Simba na Yanga waliigia mkataba wa kuchezea timu ya taifa na bila wao timu haipo, tungeacha mazoea na kila mtazania mwenye uwezo anahaki ya kujuishwa kwenye timu ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…