Kocha Amunike...

Kocha Amunike...

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
460
Reaction score
373
Wakuu naomba kujua kocha Mkuu wa Taifa Stars Emanuel Amunike anarudi lini kwa maandalizi ya Timu yetu ya Taifa kwenda Afcon...
 
hafatilii hata michezo inayoendelea huyu kocha ni mpigaji ndio maana anatupangia wachezaji wa ovyo
 
Anakula pesa za bure anatupangia wachezaji wa lipuli wakati ma ball dancer kama mkude wako benchi!!
 
Anasimamia ujenzi wa hekalu lake akimaliza atakuja kuchukua hela za kumalizia ukuta
IMG_20190104_191010.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom