biri
Ni Lesotho sio Eswatini.tunasubiri inswatini apigwe na cape vede, very funny is it not?
biri
Hata tukishinda magoli mia ikiwa Lesotho wataifunga cape Verde hata goli moja kwa bila sisi tunakuwa tumeaga mashindano. So inabidi tushinde halafu Lesotho aidha afungwe au atoe sare na cape verde
Wakuu naomba kujua kocha Mkuu wa Taifa Stars Emanuel Amunike anarudi lini kwa maandalizi ya Timu yetu ya Taifa kwenda Afcon...