Kocha anayekata kuajiriwa na Simba, Padlu Davids ana kiwango kidogo kuliko Mgunda

bahatibahati

Member
Joined
Jul 4, 2023
Posts
44
Reaction score
84
Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote.

Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha aliyeondoka wa singida black star.

Chonde chonde tusifanye makosa hayo.
 
Haya nenda ukashitaki FIFA.
 
Hizi commission zinaiua sn Simba,he won’t survive wangempa mgunda team aitengeneze gari ikiwaka wawalete wakina Gomez ila bila kuitengeneza kwanza team hawatatoka kamwe
 
Uzuri wake utaonekana kama mashabiki wakiwa wavumilivu ,vinginevyo nae safari itamuhusu. Unaweza ukampa lawama wakati,timu hajasajilo yy cha msingi apewe muda.
 
Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote.

Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha aliyeondoka wa singida black star.

Chonde chonde tusifanye makosa hayo.
Bingwa wa reverse "anaekata"
 
Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote.

Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha aliyeondoka wa singida black star.

Chonde chonde tusifanye makosa hayo.
Tunataka Mgunda
 
Sasa hata muda hajapewa! tayari hofu imetanda! Mbona Profesa Nabi wakati anakuja Yanga kuna watu walimdharau, ila mwisho wa siku alikuja kuwaprove wrong.

Mpeni nafasi bhana.
 
Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote.

Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha aliyeondoka wa singida black star.

Chonde chonde tusifanye makosa hayo.
Makosa simba lazma yawepo tu tena na simu huu. Waache kudata na rangi nyeupe.
 
Back
Top Bottom