Kocha Aussem umeonyesha ukomavu wa ukocha wako

Kocha Aussem umeonyesha ukomavu wa ukocha wako

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Licha ya kufukuzwa kazi Aussem hajalalama na kuzunguka kwenye vyombo vya habari ingawa inadhihirika kuwa hakuwaleta wabrazil na makosa si yake maana hawakuwa na mchango kwenye Championi League hapo ndo unatambua kuwa Zahera si kocha Mungu akutangulie huko uendako
 
Ni Zahera peke yake ndie kocha mpuuzi makocha wote hutimuliwa hata kwa kuonewa huoni wakilalama!
 
Back
Top Bottom