ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hakuna cha benchika wala benshika. Hawa thimba wakikutana na yanga lazima tuwakande na mfukuze kocha. Kocha wa thimba atakuwa anafukuzwa na yanga.Ww Yanga ila una akili mnoo...kongole kwako..kwny ukweli unasema ukweli..
Benchika for changes...
HahahahaHahaaa mm huwa sio muumini wa kumkataa kocha ww nifatilie vzr...ameondoka Robetinyo moyo uliniuma sana...kwa sasa amekuja huyu tumeona pia ana kitu cha tofauti..ngoja tuendelee kusubiri
Kwahiyo hafai?Timu iliyokuwa inafundishwa na Benchika ya USM Alger bado iko kwenye confederation cup hata mwaka huu; hakuisadia kuingia kwenye Championship league!!
HAWEZI KUKUELEWA HUYOKwahiyo hafai?
JAMAA ANA KITU.Kilichoongezeka ni hali ya upambanaji kwa wachezaji kutokana na kutaka kumshawishi kocha wapate namba, angalia mpira uliochezwa kati ya Simba na Al Ahly kwenye AFL, ili ujue wachezaji wa Simba wakiamua kujitoa kupambana ni mpira wa aina gani unachezeka.
HIVI MPIRA HUWA UNAANGALIA??Simba huwa mna ujinga wakusifia vitu vya hovyooo!!, Yaani mechi mbili zisizo na matoke chanya unamsifia kocha aliyeiacha USM Algers nafasi ya 10 huko?. Kilichotokea hapo ni spirit ya upambanaji ww wachezaji ili wapate namba... Subiri mechi 10 zake njoo hapa umsifie.
Hivi huu mchezo unaufahamu vizuri au wewe unachojua ni kushabikia gongowazi tu? Hivi akili hizi mnazitoa wapi?Simba huwa mna ujinga wakusifia vitu vya hovyooo!!, Yaani mechi mbili zisizo na matoke chanya unamsifia kocha aliyeiacha USM Algers nafasi ya 10 huko?. Kilichotokea hapo ni spirit ya upambanaji ww wachezaji ili wapate namba... Subiri mechi 10 zake njoo hapa umsifie.
Simba huwa mna ujinga wakusifia vitu vya hovyooo!!, Yaani mechi mbili zisizo na matoke chanya unamsifia kocha aliyeiacha USM Algers nafasi ya 10 huko?. Kilichotokea hapo ni spirit ya upambanaji ww wachezaji ili wapate namba... Subiri mechi 10 zake njoo hapa umsifie.
[emoji16]Usisahau hiki ni kipindi cha honeymoon
NGOJA TUONE BENCHIKA ANA KITU GANInaungana na wewe haya nami nimeyaona
Kibu d ,anapiga pasi kwenda mbele na anaweza acha mpira upite umkute onana afunge (kitu kipya)
Goli lapili la onana nimekumbuka goli fainali kombe la dunia brazil na ujerumani
Rivaldo anaruka anaacha pasi ipite ronaldo afunge
Nimeshangaa mzamiru ,naye anapiga pasi ziende mbele na za uhakika kitu kipya pia