NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
POLE SANACc..Guede
Unaangalia hivyo eti?!
🙆🫣...Miguu kama kangaroo tena? 😆🤣Upo sahihi 100% Usajili wa hao jamaa ni takataka bora Bocco angeendelea kucheza nafasi hiyo sio hao wenye miguu mirefu kama Kangaroo
KWELI KABISAKuwaondoa job na fredy ni kuwaonea.Wakuondolewa hapo ni aliyemleta au kuwaleta.Kwa mbinu hiyo hiyo watakuwa wameleta magarasa mengi sana Simba.Na hao hao ndiyo waliomleta chikwende.
Kutwa kuchwa unahangaika na simba tuSiyo Siri Tena usajili wa Jobe &Fred huu ni usajili wa mtu kati (wazee wa 10%) na siyo maagizo/mahitaji/matakwa ya kocha Bali ni wachezaji wa kikundi Cha viongozi pale Simba sc.
Alichokifanya kocha Benchikha kwenye mchezo wa Simba sc vs Al ahly ni kuwaweka benchi wachezaji Kisha kuanza na Saidoo ntibazonkiza kucheza Kama namba 9 kivuli.
Huu ni ujumbe kwa Boss wa Simba sc kuwa Hawaendani (hawafai ) kwenye mfumo wa BENCHIKA
Maoni Yangu: ili timu zetu zipige hatua kwenda fainali mpaka kuchukua kombe la klabu bingwa inabidi ziache JANJA JANJA kocha apewe uhuru afanye selective ya wachezaji anaowataka.