Kocha Cedric Kaze aamua kujiuzulu ukocha Namungo.

Kocha Cedric Kaze aamua kujiuzulu ukocha Namungo.

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Screenshot_20231023-144712.jpg


Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:

" Leo nimeamua kujiuzulu kama kocha Mkuu wa Namungo, ningependa kuchukua fursa hii kuushukuru uongozi, watendaji wenzangu wa benchi la ufundi na wachezaji kwa ushirikiano na kujitoa kwao".
 
Huyu jamaa mbona kama ana CV kubwa. Ina maana alipokuwa acting head coach wa Yanga, time ilikuwa inapata matokeo mabaya?
 
Uwajibilaji! Mechi 6 amepata alama tatu, kufungwa mechi 3, angekuwa mbongo hapo bado yupo tu na porojo juuu.1
 
Mgawa point uyo wamemshtukiaaaaa ovyoooo kabisaaaaaaaaa
Proyanga uyooooo
Kila kocha anayeachana na timu aliyokuwa anaitumikia, huwa mnasema Yanga inahusika. Yule kocha wa Ihefu alipoondoka, mwana mbumbumbu FC mwenzio GENTAMYCINE alisema Yanga inahusika...!! Na wewe leo unaitaja Yanga. Mbona Yule wa Coastalunian alipohamia Simba hamkusema kwamba Yanga inahusika? Yaana hapo badooo...!!! Yaani mpaka msemeeee..!!!
 
Back
Top Bottom