Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

Wazee wa gegenpressing-Wolfgang Frank, Ralf Rangnick, Jürgen Klopp, and Julian Nagelsmann.Mmojawapo japokuwa pia naichukia Man U kama mavi.
 
Timu haina quality players, siku hizi hakuna wachezaji waliokunywa maji ya bendera....

Sasa unakosa quality player, unakosa hata wazalendo kwenye kikosi, kocha atafanya nini?

Ingawa Kipara ngoto hamna kitu kweli.
 
Sina uwezo wa kuwashauri management ya man utd, lakini ningekua na huo uwezo ningewaambia wamchukue Luis Enrique(Lucho)

Lucho angesidia sana kuijenga timu pamoja na kuja na falsafa mpya. Vinginevyo man utd itahangaika miaka na miaka kubadili makocha
Kocha ni yule wa Aston villa
 
Back
Top Bottom