Mourinho(man u.t.d) kwasababu ya mwenendo mbovu was timu yake na maelewano mabaya na wachezaji.wana michezo pigeni kura mwenye kura nyingi ndo mshindi Kati ya makocha wafuatao kwenye top six EPL msimu huu kwa maoni yako unahisi nani atakuwa wa Kwanza kutupiwa virago
1. Mourinho (Man Utd)
2. klopp (Liverpool)
3. Guardiola(Man city )
4. Sarri (Chelsea)
5. Unai Emmery (arsenal)
6. pochetino (totenham)