TANZIA Kocha Hasani Banyai ametutoka

TANZIA Kocha Hasani Banyai ametutoka

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
1628224968434.png

Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo.

Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji.

Pia amewahi kuifundisha Geita Gold.
 
Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo.

Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji.

Pia amewahi kuifundisha Geita Gold
Dah, Mungu amrehemu. Hakuwa kocha wa makombe, ila wa kuzipndisha daraja timu ili zishuke Tena, azipandishe Tena...... Mungu kweli anajua kumpa kila mtu riziki yake
 
Back
Top Bottom