mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Dah, Mungu amrehemu. Hakuwa kocha wa makombe, ila wa kuzipndisha daraja timu ili zishuke Tena, azipandishe Tena...... Mungu kweli anajua kumpa kila mtu riziki yakeKocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo.
Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji.
Pia amewahi kuifundisha Geita Gold