Kocha Hitimana ana vyeti lakini hajui kufundisha mpira

Kocha Hitimana ana vyeti lakini hajui kufundisha mpira

tatamajuva

Member
Joined
Sep 11, 2019
Posts
74
Reaction score
84
Simba sc nawaonya kuwa Kocha Hitimana hawezi kufundisha mpira. kuwa na vyeti siyo kujua mpira ,hivyo chonde chonde ni Bora kumuachia Matola afanye kazi hiyo huku tukisubiri apatikane kocha mpya.
 
Daaah siku ngapi tu hizi kuweni nasubra mpeni mda ni mapema sana kuanza kumtolea povu
 
Kuwa na vyeti ni matakwa ya kikanuni, sio suala la kupenda. Ingekuwa ni suala la kujiamulia tu, wachambuzi wengi wa vipindi vya michezo wangekuwa wameshapata timu za kufundisha NBCPL
 
Siku wakiacha kumchezesha bwalya Kama namba 10, na kanoute Kama namba 8 ...tutakuwa na uwezo hata wa kupata magoli mawili dhd ya timu za kawaida Kama coastal union
 
Back
Top Bottom