Simba sc nawaonya kuwa Kocha Hitimana hawezi kufundisha mpira. kuwa na vyeti siyo kujua mpira ,hivyo chonde chonde ni Bora kumuachia Matola afanye kazi hiyo huku tukisubiri apatikane kocha mpya.
Kuwa na vyeti ni matakwa ya kikanuni, sio suala la kupenda. Ingekuwa ni suala la kujiamulia tu, wachambuzi wengi wa vipindi vya michezo wangekuwa wameshapata timu za kufundisha NBCPL
Siku wakiacha kumchezesha bwalya Kama namba 10, na kanoute Kama namba 8 ...tutakuwa na uwezo hata wa kupata magoli mawili dhd ya timu za kawaida Kama coastal union