ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Acheni usenge nyieNilipost before,
Kuinoa timu ya Tanzania kuna hitaji mwalimu anaewajua vizuri wachezaji wa Tanzania
Kiuelewa Julio ni zaidi ya Amunike kwa Timu yetu kuanzia lugha na kila kitu
julio nani bwana!!wakati ule mme mpa mkwasa mkapiga kelele alifanya nini?taifa stars ni zaidi ya kocha wachezaji unao?Nilipost before,
Kuinoa timu ya Tanzania kuna hitaji mwalimu anaewajua vizuri wachezaji wa Tanzania
Kiuelewa Julio ni zaidi ya Amunike kwa Timu yetu kuanzia lugha na kila kitu
Mkuu,Utambulisho Batili huu.Acheni usenge nyie
Watanzania tuna kasumba ya kujikataaMkuu,Utambulisho Batili huu.
'Usikute' mleta mada ni Julio mwenyewe
Ukisema ivyo si kweli, wanamichezo hasa soka la Bongo ni wanafiki sana angekuwa Julio then kapanga wachezaji wengi wa simba halafu timu ipigwe ni kesi,ivyo ivyo alikuwa na timu Mkwasa tukala 7akaambiwa anapanga wa Yanga tu...Binafsi naona kina Hemedi Morroco ndo wametusaliti kwa kutomwambia ukweli AmunikeNilipost before,
Kuinoa timu ya Tanzania kuna hitaji mwalimu anaewajua vizuri wachezaji wa Tanzania
Kiuelewa Julio ni zaidi ya Amunike kwa Timu yetu kuanzia lugha na kila kitu