Kocha Lwandamina ' mjanja ' sana ameshaziona 9 - 0 zinakuja kaamua kusepa na kijiji mapema!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna Watu wamebarikiwa kwa kuwa na ' machale ' ya kuja kupata ' dhahama ' basi ni Kocha wa Yanga Mzambia George Lwandamina kwani ameshaona kwa mwendo huu wa Simba Sports Club katika Ligi Kuu ya Vodacom kuna kila dalili kwamba Klabu yake ya Yanga SC tarehe 29 April 2018 ikaja kupata Kipigo cha Mauaji ya ' Shalubela ' cha kufungwa Goli Tisa ( 9 ) bila pale Uwanja wa Taifa hivyo ' akajiongeza ' mapema tu jana na kuamua kusepa zake za Kijiji kurejea Kwao nchini Zambia.

Shikamoo Kocha Lwandamina ila hata hivyo ' Kipigo ' kwa Yanga yako kipo pale pale!

Nawasilisha.
 
Kwanini akimbie asisubiri game ya simba?
Huyu kocha aliona wakifungwa atadhalilishwa na kufukuzwa heri aondoke mapema kujisitiri
 
Uchanga wa mawazo
 
Lwandamina kaonyesha njia.

Chirwa anafatia
 
Aisee huyu wamuache tu. Maana kavumilia mengi pale Bondeni
 
Subiri uone namna ambavyo Liverpool alimsulubu man city wakati alikuwa akipewa alama zote kwamba atamfunga liverpool?!
Ngoja tuone hiyo tar 29 mkurya mwenzangu utanikimbia kwenye kijiwe chetu cha kahawa vingunguti
 
Sina Wasiwasi Huyu Lwanda Amina atakuwa ni Diver Mzuri Manake Amejifundisha Vya Kutosha Jinsi Ya Kuogelea Pale Madimbwini Kwao
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] watapasuka asubuhiiii tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…