Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kufungwa kwa Simba katika Derby ya jana ni makosa ya wazi yaliyofanywa na Kocha Maki Zoran.
Aelewe tu kwamba wana Simba ni heri tufungwe na Namungo kuliko kufungwa na Yanga. Namungo wakitufunga chakula kinalika na hata kile chakula Kikuu kinalika fresh tu pia. Ila ikifungwa na Yanga haijalishi mwenzi wako ni Simba mwenzio au Utopolo game inakuwa ngumu sanaaaa.
Ashauriwe apate muda wa kuangalia mechi kadhaa ambazo wachezaji wapya wamekuwa wakicheza (maana wengi hakushiriki kuwasajili) ili aelewe wana nini hao wachezaji na yeye achukue jukumu la kuwaweka kwenye hali iliyofanya wakasajiliwa Simba.
Kwa kumaliza, aelewe tu kuwa kwa Simba hii wachezaji wanaoweza kuamua matokeo ni:-
1. Manula
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Outara
5. Akpan
6. Chama
7. Okwa
8. Okrah
9. Sakho
10. Phiri
11. Onyango
Yampasa awe na SABABU ZA MSINGI sana anapoamua kuwaweka wachezaji hao benchi au wasicheze pamoja. Kwa kifupi tunawajua.
Alichotufanyia leo hatujapenda kwani mechi ilishaisha. Tunaamini mapema kipindi cha pili sub ya kuingia Akpan, Phiri, Okwa na Okrah pasipo kumtoa chama mechi ilikuwa ishaisha. Kocha tuombe radhi Sana Sana.