Movic Evara
Senior Member
- Jan 31, 2018
- 197
- 431
Kuelekea mechi dhidi ya Yanga SC
"Kwa aina yetu ya uchezaji tunastahili kupata sapoti kubwa kuliko tunayopata. Msimu uliopita tulishinda Ubingwa wa ligi lakini uwanja ulikuwa mtupu.
"Tunahitaji kelele zaidi, watu wengi zaidi kwenye siti (Uwanjani) na kwa kweli nafikiri tunastahili kwa sababu ya aina yetu ya uchezaji wa soka tunaocheza.
"Tunahitaji mashabiki wengi Uwanjani kwa sababu tupo kwenye muda mgumu kama klabu. Kwa hiyo kuna maana gani ya kuinjoy mpira bila uwepo wa mashabiki wetu!
"Jambo la kusikitisha, msimu uliopita wakati ambao tulishinda Ubingwa wa ligi uwanja uliuwa mtupu, na hatukuweza kusherehekea na kufurahi pamoja na mashabiki wetu.
Rhulan Mokwena, Kocha wa klabu ya Mamelodi.