Kocha Mecky Mexime atimuliwa Kagera Sukari

Kocha Mecky Mexime atimuliwa Kagera Sukari

Kocha yeyote kufukuzwa sio jambo la kushangaza.
 
Hizi timu,walicheza mpira mzuri walivyocheza na Yanga,lakini wakicheza na vitimu vidogo upuuzi mtupu,pole Maxime.
 
Mwaka jana alikataa kujiunga Yanga, Sasa katimuliwa. Ataenda IHEFU
 
Hizi timu, walicheza mpira mzuri walivyocheza na Yanga,lakini wakicheza na vitimu vidogo upuuzi mtupu, pole Maxime.
Amefukuzwa kwa kuwa alitoa sare na Yanga, ni matokeo mabaya kwao kwa mujibu wa uongozi wa Kagera Sugar
 
Back
Top Bottom