Tetesi: Kocha Miguel Gamondi kwenda kurithi mikoba ya Benchika akifutwa kazi JS Kabylie

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini.
IMG_0393.jpeg

Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama kocha wao mpya endapo Abdelhak Benchikha atafukuzwa kazi kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo.
IMG_0394.jpeg
 
Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini.
View attachment 3136428

View attachment 3136432
Gamondi si ana mkataba na Yanga? Au ndio utavunjwa?
 
Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini.
View attachment 3136428
Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama kocha wao mpya endapo Abdelhak Benchikha atafukuzwa kazi kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo.
View attachment 3136432
kocha bila kuwa na wachezaji wanaoeleweka ni kazi bure.
Gamondi anaoneka mzuri sababu timu ya yanga kwa sasa ipo kwenye pick.
 
Huu ujinga umeocopy kwa Mick Jr.

Waarabu ni wa ajabu sana. Wanahakikisha timu maskini haziwi nzuri kwa kuchukua makocha,wachezaji wazuri ili zibaki kuwa chini na wazitawale.
 
Mpira ni pesa, weka hela acha kulialia
 
Ila Benchika amekua na bahati mbaya mwaka huu nadhani yeye ndo kocha aliyevurunda sana pale simba japo alipokewa kwa mbwembwe mbona mwenzake Fadru kaja anaperform.
Na huko tena anavurunda ajipange next year
 
Back
Top Bottom