Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Alihama na wachezaji wasiofundishika akiwa Simba 😂Kwani benchika inakuaje anasuasua.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣.....hivi aliondoka na kina nani?Alihama na wachezaji wasiofundishika akiwa Simba 😂
Sadio Kanoute 'Putin' na Babacar SarrHahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣.....hivi aliondoka na kina nani?
Hapo hamna wachezaji.Sadio Kanoute 'Putin' na Babacar SarrView attachment 3136433
Gamondi si ana mkataba na Yanga? Au ndio utavunjwa?Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini.
View attachment 3136428
Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama kocha wao mpya endapo Abdelhak Benchikha atafukuzwa kazi kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo.
View attachment 3136432
Kama ilivokua kwa Nabi tuGamondi si ana mkataba na Yanga? Au ndio utavunjwa?
Ana matatizo ya kifamilia. Hata alipokuwa Simba yalimuathiri sana.Kwani benchika inakuaje anasuasua.
Nabi alimaliza mkataba kisha akagoma kuendelea na YangaKama ilivokua kwa Nabi tu
kocha bila kuwa na wachezaji wanaoeleweka ni kazi bure.Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini.
View attachment 3136428
Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama kocha wao mpya endapo Abdelhak Benchikha atafukuzwa kazi kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo.
View attachment 3136432
Mpira ni pesa, weka hela acha kulialiaHuu ujinga umeocopy kwa Mick Jr.
Waarabu ni wa ajabu sana. Wanahakikisha timu maskini haziwi nzuri kwa kuchukua makocha,wachezaji wazuri ili zibaki kuwa chini na wazitawale.
Mbona Mo kaweka 7B alafu analialia kwa kubutuliwa?Mpira ni pesa, weka hela acha kulialia
Nabi alimaliza mkataba wake.Kama ilivokua kwa Nabi tu