KOCHA MKUU SIMBA: Roberto Oliviera (Vipers) vs Julian Chavelier (ASEC Mimosas)

Lunyasi ndo nini na kama ni timu mbona tz hakuna timu iitwayo lunyasi? Hakika ujinga ni mzigo mzto.
Umejishika mkundunii kajitawaze kwan m2 akisema wananchi hujuw anazngumzia nn m2 akisema wana lunyas Kama huelew kaa pemben msaidie mkeo kukuna naz
 
Mimi naona Mgunda ni mtu sahihi zaidi
 
Twendeni na mgunda
Sisi mashabiki wa simba tuna imani na kocha wetu mpya Juma Mgunda, na mdaifizibwake Suleiman Matola.

Hata mwekezaji wetu Moo atakuwa ameshachoka sasa kusajili kila msimu kocha wa kigeni, halafu baada ya miezi michache abaondoka.
 
Ubora wa kocha unachangiwa pia na wachezaji wenye viwango bora......... hilo tusilisahau.

"Mlete Mzungu" sasa imekuwa" "Mwondoe Mzungu"
Ulisikia wapi Mzungu mwenye kiwango bora cha soka kuja kucheza soka la kulipwa Afrika/ Bongo. Ukimwona yeyote tambua kwamba hiyo timu iliyomsajili imepigwa.....
 
Hata mumlete Gurdiola kwa wachezaji tulionao pale Simba tia maji tia maji,hakuna kitu.
 
Mikia wanapenda Sana kuota ndoto mchana kweupeeeee peeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…