Mnasemaga oooh Azam tawi la Simba, mechi mbili sasa ambazo Simba wanahitaji sana ushindi ili wabaki kwenye mbio za ubingwa halafu Azam anakaza.Inamaanisha kua anafurahia kile alichowafundisha basi wachezaji wametekeleza
Simba na Azam zote mbovu.....Mnasemaga oooh Azam tawi la Simba, mechi mbili sasa ambazo Simba wanahitaji sana ushindi ili wabaki kwenye mbio za ubingwa halafu Azam anakaza.
Simba sasa ana derby 2. Kila timu inatamani kuwa mshindani mkubwa wa Simba.
Mnasemaga wakina nani hao wanasemaga?Mnasemaga oooh Azam tawi la Simba, mechi mbili sasa ambazo Simba wanahitaji sana ushindi ili wabaki kwenye mbio za ubingwa halafu Azam anakaza.
Simba sasa ana derby 2. Kila timu inatamani kuwa mshindani mkubwa wa Simba.