Tetesi: Kocha Mkuu wa KMC Abdihamid Moallin amejiuzulu kuifundisha KMC

Tetesi: Kocha Mkuu wa KMC Abdihamid Moallin amejiuzulu kuifundisha KMC

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
Kocha Mkuu wa KMC Abdihamid Moallin inadaiwa kwamba amejiuzulu kuifundisha KMC kuanzia leo novemba 11.

Mpaka sasa KMC ambao ndio wamiliki wa Kocha huyo hawajasema chochote lakini taarifa za kujiuzulu kwake zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii

Kabla ya kutua KMC Moallin alikuwa Kocha mkuu wa Azam ambapo alidumu kwa muda wa msimu mmoja na nusu ambapo alitimkia KMC alipokaa kwa misimu miwili.

Inaelezwa amepata timu nje ya nchi

Nenda Moallin Msomali anayelijua Boli
 
Back
Top Bottom