Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti hodari wanaojuwa boli Yanga Princess. Hadi ikafanya kocha aanze kazi tu hata kama hana kibali cha kukaa kwenye bechi la ufundi.
Hii pia tuseme kwamba Mgosi mbinu zilimuhishia kabisa au uwezo wake ni mdogo bado licha ya kufundisha Simba Queens kwa muda kidogo akiwa kocha mkuu kwa muda na pia kuwa kocha msaidizi?
Yanga Princess waendea fainali ya Ngao ya Jamii 2024 kwa upande wa wanawake.