Kocha mkuu wa timu ya miguu ya Taifa ni nani?

Kocha mkuu wa timu ya miguu ya Taifa ni nani?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Mechi iliyopita kati yetu na E. Guinea ambayo tulitunguliwa dakika za mwishoni kwa goli moja, kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Matola ndo alikuwa kwenye mstari wa kutoa maelekezo kama kocha mkuu.
Sasa najiuliza nani kocha mkuu wa timu yetu wakati tuliambiwa ni Kim Poulsen?
 
Ni Matola,si uliona hata timu ilikuwa ni mikia watupu msaada wakaomba kwa Fei Toto
 
Swali lako halina maana kocha msaidizi anafanya kazi kwa kufata maelekezo ya kocha mkuu matola anaposimama anakuwa anatoa maagizo yaliyoagizwa na kocha mkuu
 
Hata ZBC2 hawaoneshi mpira vizuri kamera inacheza sana ,sehemu za kivuli kuwa giza mno wajirekebishe
 
Back
Top Bottom