Mechi iliyopita kati yetu na E. Guinea ambayo tulitunguliwa dakika za mwishoni kwa goli moja, kocha msaidizi wa klabu ya Simba Suleiman Matola ndo alikuwa kwenye mstari wa kutoa maelekezo kama kocha mkuu.
Sasa najiuliza nani kocha mkuu wa timu yetu wakati tuliambiwa ni Kim Poulsen?